Pauline Gekul: Ni Matunda Ya Rais Samia Kuwa Mchezaji Wetu Wa Tembo Warriors Anakwenda Katika Majaribio Nchini Uturuki

Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana kwa watanzania kujivunia mchezaji wa Timu ya Taifa ya